Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Dunia ilipokuwa ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Amani, wakazi wa Kaunti ya Mandera walikusanyika kwa pamoja kutoa wito wa mshikamano ili kuimarisha amani ya kudumu katika eneo hilo. Viongozi wa…