Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shughuli ya kuutazama mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu hayati Raila Odinga imekamilika katika uwanja wa Mamboleo kaunti ya Kisumu. Mamia ya wakazi walijitokeza katika uwanja huo kuutazama mwili huo, wakimpa…