Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mfalme Charles III wa Uingereza na Malkia Camilla wameondoka nchini leo Ijumaa baada ya kukamilisha ziara yao ya siku nne. Hiyo ilikuwa ziara rasmi ya kwanza ya Mfalme Charles III…