Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kaunti ya Makueni imechaguliwa na serikali ya kitaifa kuongoza mpango wa kitaifa wa afya ya wanyama na ufugaji. Mpango huo unanuia kuimarisha afya ya mifugo kupitia kampeni kamili za chanjo…