Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi wamenasa bidhaa zinazodaiwa kuwa za wizi kwenye operesheni iliyotekelezwa katika eneo la Marurui. Bidhaa hizo zilipatikana baada ya kukamatwa na kuwasilishwa mahakamani kwa Haren Kumar Damji Mandavia,…