Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Taarifa ya Stephen Ayiengo Baadhi ya viongozi na wakulimaa kaunti ya Pokot Magharibi wametoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kuharakisha usambazaji wa mbegu za mahindi zinazotolewa bila malipo kwa…