Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwigizaji wa hapa nchini Lupita Nyong'o, amezindua kampeni ya kutafuta fedha kufadhili utafiti wa ugonjwa wa fibroids ambao husababisha uvimbe kwenye nyumba ya uzazi kwa wanawake. Licha ya kuwa Nyong’o…