Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi wa kidini katika kaunti ya Lamu wamepinga vikali mswada unaopendekezwa wa kudhibiti shughuli za kidini na ibada, unaotarajiwa kuwasilishwa Bungeni hivi karibuni. Viongozi hao wanahoji kuwa baadhi ya vipengele…