Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imetangaza baadhi ya sehemu za kaunti za Laikipia, Meru, na Isiolo kuwa hatari huku ikilenga kutekeleza operesheni ya kiusalama. Kwenye Gazeti rasmi la Serikali leo Alhamisi, Waziri wa Usalama…