Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini Kenya (KWS), limeimarisha juhudi za kumtafuta Fisi aliyeonekana siku ya Jumapili katika eneo la Syokimau kaunti ya Machakos. Kupitia kwa taarifa, KWS imesema imewatuma…