Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa asasi mbali mbali za usalama wamewakamata washukiwa watatu wa ulanguzi wa mihadarati katika eneo la likoni kaunti ya Mombasa. Maafisa hao kutoka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya…