Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Ndege la Kenya Airways (KQ), limetangaza hasara ya shilingi 17.2, katika kipindi kilichokamilika mwezi Disemba mwaka 2025. KQ ilisema kuwa licha ya ongezeko la wateja, shirika hilo halikuwa…