Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wafanyakazi wawili wa Mamlaka ya Bandari nchini, KPA wameshtakiwa pamoja na wenzao ambao hawakuwa mahakamani kwa ulaghai. Wafanyakazi hao wanadaiwa kutoa shilingi milioni moja kutoka kwa akaunti ya Chama cha…