Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu katika Wizara ya Mambo ya Nje Korir Sing'Oei, amesema kuwa ili bara la Afrika liweze kukabilina na changamoto zilizopo, ni sharti liweze kuzungumza kwa sauti moja. Akizungumza leo Alhamisi…