Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta, imetoa orodha ya miili 480 ambayo haijachukuliwa na inaendelea kuhifadhiwa kwenye makafani yake. Kupitia ilani kwa umma leo Jumanne, hospitali hiyo ilisema kati ya miili…