Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakazi wa Kaunti ya Wajir waliandaa mkutano wa amani, unaolenga kukomesha mzozo wa kijamii katika mpaka wa Garissa na Kitui. Mkutano huo ulioratibiwa na shirika lisilo la kiserikali la Wajir…