Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Huku Wakristo wanapojiunga na ulimwengu kuadhimisha Siku Kuu ya Pasaka, Wakenya wamehimizwa kuchukua msimu huu kutafakari, kuwa na mwanzo mpya na kuonyesha upendo. Kwenye ujumbe wake kwa taifa, Naibu Rais…