Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kikao cha Maseneta wote kwa sasa kinaendelea katika Bunge la Seneti kwa lengo la kusikiza mashtaka yaliyowasilishwa dhidi ya Naibu Rais Rigathi Gachagua. Mawakili wa pande zote, wakiwemo mawakili wa…