Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kwenye operesheni yake ya hivi punde katika eneo la Laini Saba, Kibra, jijini Nairobi, polisi wamemkamata mshukiwa anayedaiwa kuwa kiongozi wa genge la wezi lijulikanalo kama Panga Squad.