Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Polisi wamewakamata washukiwa wawili wanaotuhumiwa kuiba mita za umeme katika mtaa wa Lucky Summer jijini Nairobi. Wakati wa msako mkali uliotekelezwa na maafisa usalama, bidhaa mbalimbali za umeme za kampuni…