Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Jeshi la ulinzi la Kenya KDF, limetangaza kwamba litaandaa zoezi la usajili wa makurutu kote nchini mwezi ujao wa Oktoba. Katika taarifa iliyotolewa jana Jumapili, jeshi hilo lilifafanua kwamba usajili…