Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirika la Utangazaji Nchini Kenya (KBC) na Shirika la Hubei Media Group la China zimetia saini mkataba wa ushirikiano wa mawasiliano, unaolenga kuimarisha ubadilishanaji wa habari, utayarishaji wa vipindi, ubadilishanaji…