Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Gavana kaunti ya Machakos Francis Mwangangi sasa anasema mgao wa fedha ambao umekua ukitengewa serikali za kaunti hautoshi kutekeleza majukumu mbalimbali yaliyowekwa chini ya usimamizi wa serikali hizo. Mwangangi…