Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali ya Kenya Kwanza inasema inaifanyia mageuzi sekta ya mifugo kaskazini mwa nchi ili kuhakikisha wakazi wanapata mapato yatakayobadilisha dira ya maisha yao. "Kupitia moja ya mipango mikubwa zaidi ya…