Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama moja ya Kajiado, imemhukumu miaka 20 gerezani mshukiwa anayedaiwa kumdhulumu kimapenzi msichana wa umri wa miaka 12. Msichana huyo inadaiw alidhulumiwa na mshukiwa huyo Oktoba 15, 2021, alipokuwa akiwahudumia…