Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka ya Usimamizi wa Viwanja vya Ndege nchini, KAA imefafanua kuhusu taarifa iliyochapishwa na gazeti moja la humu nchini kwamba kampuni ya Adani inahusika na upanuzi wa Uwanja wa Ndege…