Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Murkomen alisema ushirikiano huo utabuni fursa za ubadilishanaji wa habari za kijasusi, mafunzo ya kitaaluma, usaidizi wa kiufundi, na utumizi wa teknolojia kukabiliana na changamoto za kiusalama.