Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amesema kuwa Kenya inathamini zaidi ushirikiano wake na taifa la Ireland. Alisema mashirika ya Ireland yanayohudumu hapa nchini, yamefanikisha ukuaji wa kiuchumi na kijamii pamoja…