Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ubalozi wa Marekani Baghdad, Iraq umeshambuliwa kwa kombora. Kulingana na taarifa kuhusu shambulizi hilo, kombora hilo lilianguka katika uwanja wa ubalozi na kuharibu sehemu ya mfumo wa ulinzi wa angani. Hakukuwa…