Hatuna uwezo wa kuchunguza visa vya utekaji nyara, yasema IPOA

Tume ya IPOA inasema ina maafisa 77 pekee wa upelelezi wakati kumekuwa na ongezeko la visa vya utekaji nyara nchini. Aidha, inasema polisi wamekanusha kuhusika katika utekaji huo.

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.