Kundi la kitamaduni la Inganzo Ngari kuadhimisha miaka 20

Lilianzishwa mwaka 2006 jijini Kigali nchini Rwanda kwa lengo la kuhamasisha vijana kukumbatia ngoma za kitamaduni na kupinga dhana kwamba sanaa hiyo ni ya wazee pekee.

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.