Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya inalenga kuimarisha ushirikiano na Indonesia katika juhudi zitakazoboresha sekta ya afya humu nchini. Hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Afya Aden Duale aliyezungumza alipompokea Balozi wa Indonesia humu…