Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katika kile kinachoonekana kuwa wito wa dharura, Rais William Ruto amependekeza mabadiliko makubwa katika taasisi za kimataifa za kifedha akionya kwamba bila hatua mwafaka, mataifa yanayokua yatasalia na madeni milele.…
