Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka nchini (IEBC ),imefafanua kuwa ni wapiga kura pekee ambao walisajiliwa kabla ya mwaka 2012, na ambao hawakunakiliwa keieltroniki wanaopaswa kujisajili tena kwenye…