Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama imeelekeza kuwa hali iliyokuwepo kabla ya mabadiliko iendelee kubaki hadi kesi iliyowasilishwa na mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Taifa ya FKF itakaposikilizwa na kuamuliwa