Masengeli ahukumiwa kifungo cha miezi 6 jela kwa kuidharau mahakama

Kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Gilbert Masengeli amehukumiwa kifungo cha miezi sita gerezani.  Katika uamuzi wake alioutoa leo Ijumaa, Jaji Lawrence Mugambi amemtaka Masengeli kujisalimisha kwa Kamishna Mkuu wa Magereza…

Impressive Mobile First Website Builder

Ready for Core Web Vitals, Support for Elementor, With 1000+ Options Allows to Create Any Imaginable Website. It is the Perfect Choice for Professional Publishers.