Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Majeshi ya Isreal yamekiri kuwaua wanamgambo 40 wa kundi la Hezbollah katika kipindi cha saa 24 zilizopita. Kulingana na taarifa hiyo majeshi ya Israel yalishambulia kutoka angani kambi za wanamgambo…