Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Baraza la Magavana (CoG) limemtetea vikali Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja na kutoa wito wa kuondolewa kwa agizo la kukamatwa kwake. Agizo hilo lilitolewa na Kamati ya Uhasibu…