Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini imefikia 110. Aidha, idadi ya kaunti zilizoathiriwa na mkasa huo imefikia 30, kulingana na…