Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu, aliachiliwa huru siku ya Alhamisi kutoka korokoroni na Mahakama Kuu akisubiri uamuzi wa rufaa ya kesi inayomkabili ya wizi wa shilingi milioni 588 za…