Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wilaya ya Ituri ambayo ndiyo kitovu cha mlipuko wa ugonjwa wa Ebola, sasa ina Gavana mpya huku juhudi zikiimarishwa kukabiliana na ugonjwa huo hatari. Rais wa taifa hilo Felix Tshisekedi,…