Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume Huru ya Uchaguzi na Uratibu wa Mipaka (IEBC), imesema wapiga kura wapya 344,316 wamesajiliwa kufikia Alhamisi Aprili 2,2026. Kupitia kwa taarifa siku ya Ijumaa, mwenyekiti wa tume hiyo Erastus…