Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Inspekta Jenerali wa Huduma ya Taifa ya Polisi Eliud Lagat, amewaonya wanaofadhili ghasia katika mikutano ya kisiasa, akisema watachukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza katika kaunti ya Mombasa alipokuwa akiwahutubia Maafisa…