Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto ametaja elimu kuwa uwekezaji muhimu zaidi unaofanywa nchini kwa ajili ya ustawi wake. Ametaja elimu kuwa ngao muhimu zaidi itakayohakikisha taifa hili linafikia upeo wa maendeleo kama…