Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa usalama kutoka asasi mbalimbali, wamepata mavazi yanayoaminika kuwa ya wanamgambo wa Alshabab katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi. Operesheni hiyo ya kijasusi ilitekelezwa na maafisa kutoka Idara ya Upelelezi…