Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Tume ya Maadili na kupambana na ufisadi EACC, imenadi mali ya thamani ya mamilioni ya pesa iliyomilikiwa na aliyekuwa gavana wa Migori Okoth Obado, na aliyekuwa msimamizi wa hazina ya kaunti…