Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mke wa Naibu Rais Mchungaji Dorcas Rigathi, ameshikilia haja ya taifa hili kushirikiana kuimarisha vita dhidi ya uraibu wa pombe na utumizi wa mihadarati. Dorcas alishtumu juhudi zozote zinazolenga kurejesha…