Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkondo wa kwanza wa mashindano ya Diamond League mjini Doha yameahirishwa kutoka Mei 8 hadi Juni 19. Aidha,mashindano hayo yamehamishwa kutoka uwanja wa Qatar Sports Club hadi ule wa Khalifa…