Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Kwale wamenasa misokoto 1,858 ya bangi katika kaunti ya Kwale katika juhudi za kukabiliana na ulanguzi wa mihadarati. Polisi kutoka kituo cha Diani waliopewa…