Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi wamemkamata mshukiwa wa uhalifu wa mtandaoni katika kaunti ndogo ya Igembe Kaskazini. Mshukiwa huyo alikamatwa baada ya Polisi kupashwa habari na wananchi kuhusu mienendo yake ya kutiliwa…